Serikali kutenga bilioni 173 upanuzi wa barabara Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa amesema kuwa kiasi cha shilingi Bilioni 173 zimetengwa kwa ajili ya upanuzi wa barabara ya Iringa -Igawa yenye urefu wa kilomita 137.9 Read more about Serikali kutenga bilioni 173 upanuzi wa barabara