Rais Magufuli awapa meno wakuu wa Wilaya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha wakuu wa mikoa watatu pamoja na wakuu wa wilaya aliowateua hivi karibuni na kuwataka kwenda kusimamia fedha zinazotolewa na serikali kwa ajili ya miradi mbalimbali.

