Stephen Okechukwu Keshi afariki dunia Marehemu Stephen Okechukwu Keshi Kocha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Nigeria, Stephen Okechukwu Keshi, ambaye pia aliwahi kuwa beki wa timu hiyo ya taifa 'Super Eagles' amefariki dunia. Read more about Stephen Okechukwu Keshi afariki dunia