PIPI AFUNGIWA NA MUME WAKE PIPI NA MUMEWE Vocal Queen Pipi ambaye huwa yuko kimya mara nyingi lakini anapotoa ngoma huwa ni shida, amesema kuwa yeye hataki management yoyote kwenye game zaidi ya management ya mume wake. Yaani yeye anasimamiwa na bebe tuuuuu. Read more about PIPI AFUNGIWA NA MUME WAKE