Vijiji 223 kunufaika na mradi wa maji - Simiyu Serikali imesema itajenga mradi wa maji katika mkoa wa Simiyu ambao utahudumia vijiji 223 kutoka wilaya za Meatu, Busega, Maswa, Bariadi na Itilima. Read more about Vijiji 223 kunufaika na mradi wa maji - Simiyu