Raymond hanitingishi: Kamikaze
Msanii wa Bongo Fleva kutoka katika kundi la Wakacha, Cyril Kamikaze, afunguka juu ya seke seke lake na msanii kutoka katika kundi la WCB Raymond baada ya uongozi huo kusema hawaitambui ngoma hiyo wakidai ametoa wimbo bila ya kuwashirikisha.