Rais Dkt. John Magufuli na Augustino Mrema
Mwenyekiti wa TLP Dkt. Augustino Mrema amesema Rais Dkt. John Magufuli anaishi kwenye maneno yake kwani mwaka jana alipofika kwenye jimbo la Vunjo aliwaambia wananchi wamchague Mrema na wasipomchagua atampa kazi, jambo ambalo ametimiza.
