Bilioni 2.5 kuanzisha mahakama ya mafisadi nchini
Serikali imesema imetenga shilingi bilioni 2.5 kwa ajili ya kuanzisha mahakama ya mafisadi katika mwaka wa fedha 2016 & 2017 ikiwa ni ahadi ya Rais Dkt. John Magufuli wakati wa kampeni uchaguzi mkuu 2015.