Spika Job Ndugai anaendelea vyema nchini India
Naibu Spika wa Bunge Tulia Ackson amesema kwamba watanzania wasikubali uvumi unaoenezwa na baadhi ya mitandao kwamba Spika wa Bunge Job Ndugai hali yake ni mbaya bali waamini kwamba hali ya Spika ni njema na anaendelea vizuri na matibabu.