Misaada ya wahisani ni sumu kwa Maendeleo-Mpango

Waziri wa fedha na Mipango Mh. Dkt. Philip Mpango.

Serikali ya Tanzania imesema kuwa misaada inayotolewa na wahisani ni sumu ya maendeleo ya nchi kwani imekuwa mwanzo wa sera na miradi mibovu mbali na kutoa msaada tangu uhuru.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS