Serikali yaaswa kubadilisha sheria za uwekezaji
Mbunge wa jimbo la Kalengo Mhe. Godfrey Mgimwa ameitaka serikali kurekebisha sheria za uwekezaji na kuondoa kero za mrundikano wa kodi leseni na gharama za uwekezaji ambazo kwa kiasi kikubwa zitaikwamishwa serikali katika azma yake ya uzalishaji na k