Brazil yaipiga Haiti Kijerumani yaidondoshea wiki.
Unaweza kusema ni kama kisasi wakikumbuka kipigo cha aibu walichokipata wao cha mabao 7-1 toka kwa Wajerumani katika michano ya kombe la dunia mwaka 2014 Brazil nao wametoa kichapo kama hicho kwa Haiti alfajili ya leo huko nchini Marekani.