Kufanya biashara na serikali mashine za EFD lazima
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakati akisoma bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016 & 2017 amesema kwamba idara za serikali hazitafanya biashara na mtu ambaye hatumii mashine za kutoa risiti kwa njia ya kielektroniki EFSs.