MaRC kutegua mtego wa madawati ya Magufuli Juni 30
Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mheshimiwa George Simbachawene amesema mikoa na halmashauri nyingi nchini zimejitahidi kutekeleza agizo la rais la kutengeneza madawati yakutosha kabla ya tarehe 30 Juni.

