Madiwani 24 Meru wapandishwa Kizimbani Halmashauri ya Meru, Wilayani Arumeru, Madiwani 24 wa Halmashauri ya Meru, Wilayani Arumeru,jana wamepanda kizimbani katika mahakama ya hakimu Mkazi Arusha, kujibu shitaka la kuharibu uzio wa Itandumi Naftani Makere. Read more about Madiwani 24 Meru wapandishwa Kizimbani