Mahakama ya Mafisadi italikomboa taifa-Ole Sendeka
Msemaji wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Christophe Ole Sendeka amesema kitendo cha serikali kutenga fedha shilingi bilioni 2.5 kwa ajili ya Mahakama ya Mafisadi kitasaida kwa kiasi kikubwa kupambana na tatizo hilo ambalo limekuwa likiitafuna nchi.