Tanzania iwapime watoto wachanga kuepuka vifo
Nchi ya Tanzania imetakiwa kutunga sera ya kuwapima watoto wachanga mara tu wanapozaliwa ili kubaini kama wana magonjwa ya kuambukiza ili kuwakinga mapema dhidi ya madhara yaletwayo na magonjwa hayo katika jamii.