Tutashughulikia wanaofungasha Lumbesa-Mwijage
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji nchini imesema itaanzisha vituo maalum vya kuuzia na kukagua mazao ili kuhakikisha wakulima hawauzi mazao yaliyofungashwa kinyume na sheria ikiwa ni pamoja na lumbesa kinyume cha Sheria ya Wakala wa Vipimo.
