Alikiba Msanii Alikiba amesema muziki hauna siri na muziki hauna tofauti kati ya mtu na mtu kwani unaweza kuwa una chuki na mtu lakini akiimba muziki mzuri ukapenda kazi yake. Read more about Alikiba