Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wazazi na walezi nchini kuwalinda watoto kutokana na kushamiri kwa vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi yao.