Mchawi mweusi wa Tanga atamba kuing'oa Shelisheli
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys Bakari Shime ametamba kuing'oa Shelisheli kwa kishindo katika mchezo wa marudiano utakaopigwa mwishoni mwa juma hili.
