Hussein Itaba atamba kumtwanga Ibra Tamba
Katika kutafuta nafasi ya kucheza pambano kubwa la kimataifa na kuondoa ubishi baina ya mabondia Hussein Itaba na Ibrahim Tamba [Ibra Tamba] mwishoni mwa juma hili mzizi wa fitna utakatwa rasmi kwa mabondia hao chipukizi wenye vipaji kupambana.