Ryan Giggs aamua kumkimbia Mourinho Man United
Ryan Giggs anajiandaa kuhitimisha miaka 29 ndani ya klabu ya Manchester United aliyojiunga nayo tangu akiwa kinda baadaye mchezaji wa kutegemewa na akamalizia mpira wake akiwa kama kocha msaidizi kwa makocha wa awamu mbili tofauti.
