Ney wa Mitego Msanii Nay wa Mitego amesema wimbo wake mpya utatoka rasmi Jumatatu tarehe 11 unaitwa 'PaleKati" na utakua na video 4 za madirector tofauti wa ndani na nje ya nchi. Read more about Ney wa Mitego