Wazee Dodoma waiomba serikali kuwatazama Baraza la Wazee mkoani Dodoma limeitaka serikali kuboresha huduma muhimu kwa wazee ikiwa ni pamoja na maboresho katika huduma za afya. Read more about Wazee Dodoma waiomba serikali kuwatazama