Wabunge watatu wa CHADEMA wapigwa Stop Bungeni

Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewasimamisha kuhudhuria vikao kwa muda vipindi tofauti wabunge watatu wa Chadema, kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu pamoja na kusema uongo bungeni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS