Elimu Songwe bado inachangamoto nyingi
Mkoa wa Songwe unakabiliwa na upungufu wa vyumba vya madarasa 2621,vyoo pamoja na nyumba za walimu 4185 kati ya zinahitajika mkaoni humu huku wakiwa bado hajakamilisha tatizo la ukosefu wa madawati kama agizo la rais linavyotaka.

