Namba binafsi zingetozwa hata milioni 20 -Ngonyani
Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Hillary Ngonyani 'Maji Marefu' amesema anaunga mkono hatua ya serikali kuongeza kodi kwa watu wote wanaoweka majina yao kama 'Plate Number' ili fedha hizo zisaidie wananchi wengine.