Yanga yasema wako tayari kwa Wa-Algeria/Wamorocco

Kocha wa Yanga Hans van der Pluijm (kulia) na Msaidizi wake Juma Mwambusi wakiteta jambo.

Kocha msaidizi wa klabu ya soka ya Yanga Juma Mwambusi amesema wamekiandaa vizuri kikosi cha timu hiyo na hawana wasiwasi wowote na Waarabu wa Algeria timu ya Mouloudia Olympique Bejaia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS