"Arusha mi ni kama balozi wa nyumba 10"-Dogo Janja Msanii Dogo Janja amekanusha taarifa za kutofikia nyumbani kwao pale anapoenda mkoani Arusha, na badala yake hufukia hotelini, kwa kigezo kuwa nyumbani kwao ni mafukara. Read more about "Arusha mi ni kama balozi wa nyumba 10"-Dogo Janja