Kiungo mpya wa Yanga, Juma Mahadhi aanza vizuri
Kiungo mpya wa Yanga, Juma Mahadhi ameanza kuonesha cheche zake baada ya kufanikiwa kufunga mabao mawili katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar huku akifanikiwa kutengeneza penalti mbili.