Wasichana 500 watanzania wanatumikishwa ughaibuni Serikali imesema wasichana 500 wanatumikishwa katika kazi hatari zikiwemo za ukahaba katika nchi za Asia na Uarabuni baada ya kusafirishwa na mtandao unaojihusisha na kzi hiyo. Read more about Wasichana 500 watanzania wanatumikishwa ughaibuni