JAY MOE:WASANII WAKONGWE MSIRUDI KIZAMANI

Jay MOE

Jay Mo amesema baada ya kutoa ngoma yake ya 'Pesa Madafu' amengundua mengi yakiwemo mabadiliko ya music wa kisasa huku akisema kipindi chao ilikuwa lazima utoe albamu ndo uuze lakini kwa sasa mtu anasingle mbili anasifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS