Niyonzima amtaka Hasan Kessy kuisahau Simba SC
Kiungo mchezeshaji wa Yanga Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amemwambia beki wa timu hiyo, Hassani Kessy kuwa asahau maisha ya Simba na badala yake akili na mawazo yake aelekeze kwenye klabu yake mpya anayoichezea hivi sasa.