Kessy apongezwa kwa kuhimiza ukusanyaji kodi
Mbunge wa Nkasi Ally Mohamed Kessy amesikika mara kwa mara bungeni akiitaka serikali ibuni vyanzo vya mapato pamoja na ikiwa ni pamoja na kukusanya mapato kwa wafugaji pamoja na kila mtu mwenye kufanya kazi ilin fedha hizo zitumike kuleta maendeleo.

