Roma kuichana serikali ya Magufuli? ROMA Msanii wa HIP HOP anaesifika kwa kuichana serekali kwa vigongo vyake vingi kila anapoona maboko yupo mbioni kuachia wimbo wake mpya unaoitwa Kaa Tayari Read more about Roma kuichana serikali ya Magufuli?