Ureno yatinga nusu fainali Euro 2016

Timu ya taifa ya Ureno imetinga hatua ya nusu fainali katika michuano ya Euro 2016 inayoendelea nchini Ufaransa na kuwa nchi ya kwanza kufuzu katika hatua hiyo baada ya kuifunga Poland kwa mikwaju ya penalti 5-3.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS