Madawati zaidi ya laki 5 yapatikana kwa uchangiaji
Waziri Mkuu wa Kassim Majaliwa amesema kampeni ya kuhamasisha wadau kuchangia madawati imezaa matunda na kufanikiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la madawati katika shule za msingi na sekondari.

