Polisi shughulikeni na wachochezi – Mwigulu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amelitaka jeshi la polisi kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kikamilifu na endapo viongozi wa vyama vya siasa watafanya uchochezi wowote wenye kuvuruga amani wahangaike nao kwanza.

