Mazungumzo ya Burundi Kuanza Tena Julai 12 Muwezeshaji wa mazungumzo ya maridhiano Burundi, Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa. Duru ya pili ya mazungumzo kusaka maridhiano nchini Burundi yanatarajiwa kuanza Jumanne Julai 12 hadi Julai 14, 2016. Read more about Mazungumzo ya Burundi Kuanza Tena Julai 12