"Mapedeshee wanatupenda tukiwa juu tu", - Hakeem 5 Msanii Hakeem 5 amewafungukia mapendehsee wenye tabia ya kujipenyeza kwa wasanii wanapokuwa kwenye chati, na kuwakimbia wakiwa wameshuka kimuziki. Read more about "Mapedeshee wanatupenda tukiwa juu tu", - Hakeem 5