Mahakama yahalalisha ushindi wa mbunge wa Rungwe Mahakama kuu kanda ya Mbeya imemwamuru msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Rungwe, kumkabidhi hati ya Ushindi Mbunge wa Jimbo hilo Saul Amon kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Read more about Mahakama yahalalisha ushindi wa mbunge wa Rungwe