Italia kuivaa Ujerumani bila mashine yao De Rossi.
Daniele de Rossi katika jezi ya taifa lake la Italia
Kiungo Daniele de Rossi ataikosa mechi ya robo fainali ya michuano ya Euro 2016 baina ya timu yake ya Taifa ya Italia dhidi ya Ujerumani itakayopigwa Jumamosi hii.