Msouth Afrika jela miaka 25 kwa dawa za Kulevya
Mahakama kuu kanda ya Mbeya imemuhukumu kifungo cha miaka 25 jela raia wa Afrika kusini Vuyo Jack, baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha na dawa za kulevya na kuziingiza nchini na kulipa faini ya shilingi bilioni 3. 7.