Wakuu wa wilaya walioachwa hawakufikia vigezo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema kwamba wakuu wa wilaya ambao walikuwa wakifanya kazi hiyo katika maeneo mbalimbali na kuachwa katika uteuzi wake maana yake hawakukidhi vigezo vinavyotakiwa.

