Nyumba zilizowekwa X zitabomolewa- Boniface Jacob
Mstaiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob amesema wananchi wote ambao wamewekewa alama za X kwenye nyumba zao na hawana mlalamiko yoyote ambayo yanafahamika kisheria na mahakama, wabomoe nyumba zao kwa hiari yao.