Wadaiwa kutoroka kuchukua dawa za kupunguza VVU
Wadau wa kupambana na maambukizi mapya ya Ukimwi mkoa wa Njombe wamesema kuwa kunachangamoto ya baadhi ya watu kutoroka kupata dawa katika vituo vya kuchukulia dawa za kupunguza makali ya Virusi vya Ukimwi.
