Marekani yatoa dola milioni 800 kuisaidia Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha pamoja na kuzungumza na Balozi wa Marekani hapa nchini Mark Childress Ikulu.
Marekani itatoa dola milioni 800 kwa Tanzania kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.