Kozi za ukocha CAF kufanyika katika Mikoa mitatu
Shirikisho la Soka Tanzania TFF kupitia Idara ya Ufundi, imetangaza kozi nne (4) za Leseni za Shirikisho la Soka Afrika CAF zinazotarajiwa kuanza Juni 20 mwaka huu katika Mikoa ya Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam.