Rais Dkt. Magufuli aagiza wizara kutumia EFD
Mhe. Rais Magufuli amewataka wakurugenzi waliokula viapo vya utumishi kusimamia ipasavyo ukusanyaji wa mapato ya serikali na ametumia nafasi hiyo kuagiza wizara zote kuanza kutumia mashine za kielektroniki (EFD)

